MAAJABU MENGINE HAYA HAPA KWA JAMII INAYOKULA PANYA

BAADA ya kuona maajabu na vituko vingine ebu tuone tena jamii inayokula panya hawa ni wasafwa,wakinga na baadhi ya makabila mengine kama tunavyomuona uyu kijana kwenye picha akiwa anatembeza panya hao iliwatu wapate mboga
baada ya kuona EBU NAWE COMMENT APO CHINI KABILA LINALOONGOZA KUFANYA AYA MAMBO

CONVERSATION

Back
to top