October 30 2016 maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam imetokea ajali ambayo imehusisha basi la abiria la Safari Njema (T990 AQF) ambalo limegongana na lori T534 BYJ ambapo magari yote yaliteketea kwa moto baada ya kugongana kusababisha kifo cha
abilia mmoja na majeruh kumi
CONVERSATION