Mapokezi ya Akothee Kenya, baada ya ushindi wa tuzo za AFRIMMA na AEAUSA

Muimbaji wa Kenya Akothee ambaye alimshirikisha Diamond Platnumz wa Tanzania katika hit single yake ya ‘Sweet Love’, amewasili Nairobi Kenya baada ya ushindi wa tuzo mbili alizoshinda nchini Marekani.
5
Akothee amepokelewa kwa furaha kwao Nairobi, mapokeizi ambayo yaliongozwa na baba na mama yake, kama utakuwa unamkumba Akothee alitangazwa mshindi wa tuzo ya AFRIMMA ya msanii bora wa kike wa Afrika  Mashariki October 15 2016 Dallas Texas Marekani.

Muimbaji huyo alishinda pia tuzo ya msanii bora wa kike 2016 katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA).

CONVERSATION

Back
to top