TOP 10: Wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani, Afrika ni mmoja tu

Staa wa kimataifa wa Wales anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Gareth Bale ameingia katika TOP 3 ya wachezaji wa soka wanaolipwa pesa ndefu zaidi duniani ambapo ameingia katika list hiyo kutokana na mkataba wake mpya na Real Madrid
Kwa sasa Bale atakuwa akilipwa pound 346,000 kwa wiki ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 900 ambapo katika kipindi cha miaka sita Bale atakuwa kaingiza jumla ya pound milioni 108.

CONVERSATION

Back
to top